• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Wakulima waungana kuondoa madalali

    (GMT+08:00) 2018-03-20 18:16:10
    Wakulima katika wilaya ya, Serere wameungana ili kuanza kuuza bidhaa zao kwa pamoja na kupata ongezeko la faida badala ya kuuza kupitia madalali ambao wamekuwa wakuwapunja.

    Wakulima hao wanazalisha mahindi na mtama kwa wingi lakini madalali hununua kwa bei ya chini na baadaye kuuza kwa bei ya juu.

    Sasa chama chao kikiwa na zaidi ya wakulima 960 watakuwa na hifadhi ya zaidi ya tani 900 za nafaka kila mwaka na hivyo kuwawezesha kupigania kupata bei zuri kutoka kwa makampuni ya nchi jirani za Kenya, Tanzania na Rwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako