• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wawekezaji wa Misri watua Rwanda

    (GMT+08:00) 2018-03-20 18:16:26
    Wawekezaji wa Misri wako nchini Rwanda kutafuta nafasi za uwekezaji katika sekta za kawi, kilimo na nguo.

    Aidha wawezezaji hao chini ya chama cha viwanda cha Misri wanapanga kuwekeza kwenye sekta ya madawa na mifuko ya upakiaji.

    Tayari wamekutana na wadau wa sekta ya kibinafsi nchini Rwanda na kukubaliana kuongeza ushirikiano wao.

    Mwenyekiti wa chama cha wenye viwanda wa Misri Sherif El Gabaly, amesema wamevutiwa na Rwanda kwa sababu ya mazingira yake tulivu ya kufanya biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako