Mkuu wa ununuzi wa kampuni hiyo John Gethi amesema watanunua maziwa kutoka kwa wakulima wote 160,000 kutoka kote nchini Kenya.
Tangazo hilo la Brookside ni afueni kwa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa waliokuwa na hofu kwamba hawataweza kuuza bidhaa yao yyote wakati kuna wingi wa maziwa.
Kampuni hiyo ina uwezo wa kusindika lita milioni 1.5 za maziwa kila simu na ina mgao wa asilimia 45 wa maziwa yote nchini Kenya.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |