• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tazania: Air Tanzania kuanza ziara Aisa na Ulaya

    (GMT+08:00) 2018-03-20 18:17:15
    Shirika la ndege la Tanzania, Airtanzania linatarajiwa kuanza kufanya ziara barani Ulaya na Asia hivi karibuni.

    Mwezi Julai Tanzania itapokea ndege aina ya Boeing 787 Dreamliner kusaida juhudi zake za upanuzi.

    Serikali pia inatarajia ndege mbili mpya za Bombardier CS300, ambazo mikataba ya ununuzi imekamilika.

    Miaka miwili iliyopita, Tanzania ilianzisha mpango wa kuimarisha uchukuzi wa angani mpango huo ukiwa ni pamoja na ununuzi wa ndege sita mpya kati ya 2016 na 2018, malipo ya madeni na utoaji wa mitaji ya kuanza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako