• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Manchester United yamuongeza mkataba wa mwaka mmoja Ashley Young

    (GMT+08:00) 2018-03-21 09:19:12

    Manchester United imeongeza mkataba wa mwaka mmoja na mchezaji wake Ashley Young ambao utamfanya asalie hapo hadi mwaka 2019.

    Mkataba wa awali wa Young unamalizika mwishoni mwa msimu huu, lakini kutokana na maoni ya kocha Jose Mourinho aliyedai kuridhishwa na kiwango cha nyota huyo, umeongezwa.

    Young alijiunga na United akitokea Aston Villa mwaka 2011.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako