• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya Mercedes yashauri waandaaji kusikiliza hoja za timu zinazoshiriki

    (GMT+08:00) 2018-03-21 09:19:53

    Viongozi wa timu ya Mercedes inayoshiriki mashindano ya magari ya mwendokasi, imewashauri waandaaji wa mashidano hayo F1 kutopuuza hoja zinazotolewa na timu ya Ferari kuhusu kanuni mpya zilizopendekezwa kwenye mashindano.

    Ferari wameonya kuwa hawataongeza mkataba wa ushiriki pindi utakapoisha endapo mazungumzo hayataenda vizuri, hasa kuhusu mabadiliko ya kanuni za injini za magari.

    Kutokana na hilo, Mkurugenzi mkuu wa timu ya Mercedes Toto Wolf amewasihi F1 wawasikilize Ferari kisha wamalize utata.

    Mashindano ya magari ya kwanza kwa mwaka huu yanatanyika wikendi hii nchini Australia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako