• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maofisa wa ngazi ya juu wa CPC wawasilisha ripoti ya kazi zao kwa Kamati Kuu ya CPC

    (GMT+08:00) 2018-03-21 15:49:55

    Wajumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kwa mara ya kwanza wamewasilisha ripoti ya kazi zao kwenye Kamati Kuu ya CPC na kwa Katibu Mkuu wa Kamati hiyo, Xi Jinping.

    Kutokana na kanuni za kuimarisha na kulinda uongozi wa Kamati Kuu ya CPC, wajumbe wa Ofisi ya Siasa wanapaswa kuwasilisha ripoti za kazi zao kwa Kamati Kuu na kwa Katibu Mkuu mara moja kwa mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako