• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania-Mashine chakavu za Sido zadumaza ukuaji wa Viwanda,wasema wabunge

    (GMT+08:00) 2018-03-21 19:43:57
    Wabunge wa kamati ya Bunge ya Viwanda,Biashara na Mazingira nchini Tanzania wameshangazwa na uchakavu wa mashine za shirika la kuhudumia viwanda vidogo (Sido).

    Wakizungumza jana baada ya kutembelea karakana ya Sido ya mkoa wa Iringa eneo la Kibwabwa manispaa ya Iringa,wajumbe walishangazwa na mashine zinazotumia teknolojia ya zamani na nyingine zikiwa hazifanyi kazi kutokana na uchakavu.

    Walisema hali ya amshine za Sido na majengo yake haviendani na sera ya serikali ya uchumi wa viwanda,hivyo serikali inatakiwa kuangalia shirika hilo kwa jicho la kipekee kama inamaanisha kukuza viwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako