• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yatoa wito wa kushirikiana na Uingereza kwenye uchunguzi kuhusu kuwekewa sumu kwa aliyekuwa jasusi wa Russia

    (GMT+08:00) 2018-03-22 09:10:39

    Wizara ya mambo ya nje ya Russia imesema inatumai kuwa Uingereza itaweka wazi nyaraka zote kuhusu tukio la kuwekewa sumu kwa aliyekuwa jasusi wa Russia Bw. Sergei Scripal na binti yake Yulia nchini Uingereza, na kusema iko tayari kushirikiana na Uingereza kwenye uchunguzi wa tukio hilo. Wizara hiyo imesisitiza kuwa Russia haihusiki na tukio hilo kwa kuwa kufanya hivyo hakuna manufaa yoyote kwa Russia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako