• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa elimu wa China, Japan na Korea Kusini wakubaliana kuimarisha ushirikiano

    (GMT+08:00) 2018-03-22 09:11:09

    Mawaziri wa elimu wa China, Japan na Korea Kusini wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kielimu kwenye Mkutano wa pili wa mawaziri wa elimu wa nchi hizo tatu uliofanyika jana mjini Tokyo. Kwa mujibu wa mawaziri hao, pande hizo tatu zitaendelea kuhimiza mawasiliano kati ya wanafunzi na vijana wa nchi hizo tatu, kuendelea kutekeleza mpango wa CAMPUS Asia, na kuimarisha ushirikiano kati yao chini ya utaratibu wa pande nyingi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako