• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kocha wa timu ya Vijana ya Rwanda atamba kuiondoa Kenya kwenye kinyang'anyiro cha kufuzu mashindano ya Afrika.

    (GMT+08:00) 2018-03-22 09:54:52

    Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Vijana Chini ya Umri wa miaka 20 ya Rwanda Vincent Mashami ametamba kuwa timu yake inaweza kuwashinda Kenya kwenye mechi za kufuzu mashindano kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2019 nchini Niger.

    Mechi ya kwanza ya mtoano huo itechezwa nchini Kenya tarehe 1 Aprili na mechi ya pili itachezwa Aprili 21 mjini Kigali.

    Mshindi kati ya timu hizo mbili anatarajiwa kushindana na Zambia mwezi mei ili kupata nafasi ya kushiriki mashindano ya Niger.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako