• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yasema mchakato wa kuunganisha elimu ya juu ya Afrika Mashariki unaendelea

    (GMT+08:00) 2018-03-22 09:54:58

    Ofisa wa Kenya amesema, mchakato wa usawazishaji wa viwango vya elimu ya juu ya nchi za Afrika Mashariki unaendelea.

    Ofisa wa wizara inayoshughulikia mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na Maendeleo ya ushoriba wa Kaskazini Bw. Peter Munya, amesema sera na zana zote zimeandaliwa ili kufikia kiwango cha sawa cha elimu ya juu kati ya nchi sita wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Bw. Munya amesema elimu yote ya ngazi ya juu katika kanda hiyo itaunganishwa kabla ya mwaka 2019. Viongozi wa EAC wametangaza eneo la biashara huria kuwa eneo la pamoja la Elimu ya Juu mwezi Mei mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako