• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe maalum wa rais wa China kufanya ziara nchini Afrika Kusini

    (GMT+08:00) 2018-03-22 19:36:51

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying amesema, mjumbe maalum wa rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni mjumbe wa ofisi ya siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Yang Jiechi ataanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Afrika Kusini kuanzia kesho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako