• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zlatan Ibrahimovic ajiunga na LA Galaxy ya Marekani

    (GMT+08:00) 2018-03-23 08:58:57

    Kabla hata ligi kuu nchini Uingereza haijaisha, Klabu ya Manchester United imemruhusu nyota wake wa kimataifa wa Sweden Zlatan Ibrahimovic aliyekwenda kujiunga na LA Galaxy inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani.

    Tangu ajiunge na United mwaka 2016, Ibrahimovic amecheza mechi 46 na kufunga magoli 28, na majeruhi yaliyomwandana pamoja na ujio wa Romelu Lukaku kumemfanya asiwe na nafasi kubwa ya kucheza.

    Mpaka sasa Zlatan ana mataji 31 ya ubingwa kupitia klabu 6 alizocheza, ambazo ni Ajax, Inter Milan, Barcelona, AC Milan, Paris Saint-Germain na Manchester United.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako