• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo kutokana na ajali ya moto kwenye jumba la maduka nchini Russia yafikia 37

    (GMT+08:00) 2018-03-26 08:39:59

    Shirika la habari la Russia TASS limeripoti kuwa watu 37 wamefariki dunia kutokana na ajali ya moto iliyotokea jana katika jumba la maduka mjini Kemerovo, kusini na kati mwa Russia. Ripoti ya awali imesema watu 69 waliokuwa katika jumba hilo, wakiwemo watoto 40, hawajulikani walipo, na kikosi cha zima moto kinaendelea kuwatafuta watu hao waliopotea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako