• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tennis, Miami: Johanna Konta wa Uingereza afuzu raundi ya nne, sasa kukutana na Venus Williams

    (GMT+08:00) 2018-03-26 10:08:08

    Mwanadada Johana Konta wa Uingereza amefanikiwa kufuzu raundi ya nne ya mashindano ya tennis ya Miami nchini Marekani baada ya kumshinda Elise Mertens wa Ubelgiji kwa seti ya mbili sifuri yenye alama 6-2 6-1.

    Katika raundi ya nne, Konta ambaye ni bingwa mtetezi wa mashindano hayo, atakutana na mchezaji namba nane kwa viwango vya ubora duniani Venus Williams ambaye amefuzu baada ya kumfunga Kiki Bertens wa Uholanzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako