• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atoa wito wa ushirikiano wa kimahakama kati ya China na nchi zinazozungumza Kireno

    (GMT+08:00) 2018-03-26 16:43:34

    Rais Xi Jinping wa China amepongeza ushirikiano wa kimahakama kati ya China na nchi zinazozungumza Kireno.

    Katika barua yake kwenye mkutano wa wakuu wa Mahakama Kuu za China na nchi zinazozungumza kireno unaofanyika mjini Guangzhou, kusini mwa China, rais Xi amesema mkutano huo ni muhimu sana kwa kukuza mawasiliano na ushirikiano wa kimahakama kati ya China na nchi nyingine.

    Rais Xi pia amesema, mkutano huo utasaidia kuendeleza mazingira mazuri ya kisheria na kujenga jamii yenye hatma ya pamoja kwa binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako