• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya Mechi za Kirafiki: Brazil walipa kisasi kwa kuishinda 1-0 Ujerumani kwao

    (GMT+08:00) 2018-03-28 10:43:52

    Kwa kile kinachoweza kutambulika kama ni kupunguza machungu iliyoyapata baada ya kufungwa magoli 7-1 ilipokuwa nyumbani mwaka 2014, timu ya taifa ya Brazil jana imepata ushindi wa goli 1-0 kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Ujerumani iliyopigwa mjini Berlin.

    Goli la Brazil lilifungwa na Gabriel Jesus katika dakika ya 37, na kuifanya ujerumani ifungwe kwa mara ya kwanza baada ya mechi 22 ambapo mara ya mwisho ilifungwa na Ufaransa mwaka 2016

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako