• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Raga, Uganda: Wachezaji nyota watatu watakaojumuishwa katika cha timu itakayoshiriki mashindano ya Jumuiya ya madola nchini Australia

  (GMT+08:00) 2018-03-29 10:30:24

  Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uganda ya mchezo wa Raga, Tolbert Onyango amefanya mabadiliko katika kikosi chake na kuwaita nyota wa kimataifa wa nchi hiyo wanaocheza ligi za kulipwa nje ya nchi ili kuimarisha timu itakayoshiriki mashindano ya jumuiya ya madola.

  Wachezaji hao ni Phillip Wokorach, Pius Ogena na Lawrence Sebuliba ambao sasa watachukua nafasi za Timothy Mudoola, Al Hadji Manano na James Ijongat walioondolewa.

  Uganda iko katika kundi E la mashindano ya jumuiya ya madola pamoja na timu za Sri Lanka, Fiji na Wales.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako