• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yasema suala la nyuklia la Peninsula ya Korea linaendelea katika mwelekeo sahihi

    (GMT+08:00) 2018-03-29 16:44:17

    Msemaji wa Ikulu ya Marekani Bibi Sarah Sanders amesema, suala la nyuklia la Peninsula ya Korea linaelekea kwenye njia sahihi, na Marekani ina matarajio yenye tahadhari na maendeleo hayo na itaendelea kuhimiza mchakato huo.

    Akizungumzia ziara isiyo rasmi ya kiongozi wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong-un nchini China, Bi Sanders amesema ziara hiyo imetoa ishara nzuri. Ameongeza kuwa katika siku za baadaye Marekani itafanya juhudi kuhimiza mkutano kati ya rais Donald Trump na Bw. Kim Jong-un utakaofanyika kabla ya mwisho wa mwezi Mei.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako