• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda yafikisha huduma ya intanenti vijijini

    (GMT+08:00) 2018-03-29 19:47:20

    Wakaazi wanaoishi katika sehemu za mashinani sasa wataweza kufanya sghuhuli zao biashara na za kilimo kutumia huduma ya intanenti ya kasi ya juu.

    Hii ni baada ya huduma ya intaneti yenye kasi ya 4g kufikishwa katika wilaya zote nchini Rwanda.

    Kwa mujibu wa Shirika la KT Rwanda Network, mtandao wa 4G sasa unafikia asilimia 95 ya maeneo yote ya Rwanda ikilinganishwa na mwaka 2014 ambapo huduma hiyo ilikuwa ni asilimia 17 tu.

    Mkurungezi wa 4G Square John Ntwali Ndorimana, amesema hatua hiyo itawezesha biashara na mawasiliano kufanyika kwa haraka.

    Kulingana na taakwimu matumizi ya simu za mkononi nchini Rwanda yameongezeka hadi asilimia 75.5 kufikia mwezi Nove,ba mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako