• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Mkataba wa biashara huru Afrika kuwafaidi wakenya

    (GMT+08:00) 2018-03-29 19:48:21

    Serikali imeidhinisha mkataba wa kibiashara ambao utawwezesha wakenya kufanya biashara katika mataifa mengine ya Afrika bila vikwazo.

    Barza la mawaziri lilipitisha makubaliano ambayo Rais Uhuru Kenyatta alitia sahihi jijini Kigali .

    Kwenye mpango huo raia wa Afrika watasafiri kutumia paspoti moja.

    Aidha sarafu moja ya barani Afrika itazinduliwa kurahisisha ununuzi na ununuzi.

    Rais Uhuru Kenyatta aliongoza mkutano huo wa baraza hilo uliohudhuriwa pia na viongozi wengine ambapo sekta ya kibinafsi ilitakiwa kutumia nafasi kutiwa saini kwa makubaliano hayo.

    Makubaliano hayo ya Kigali yatawezesha bara la afrika kupanua soko lake la kibiashara ,kuimarisha miundo msingi na kuimarisha uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako