• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kura zilizohesabiwa zinaonesha kuwa rais wa sasa al-Sisi ameshinda uchaguzi mkuu wa Misri

    (GMT+08:00) 2018-03-30 08:54:35

    Matokeo ya awali ya hesabu ya kura katika uchaguzi mkuu wa Misri yanaonesha kuwa rais wa sasa Abdel Fattah al-Sisi ameshinda muhula mwingine wa urais, na matokeo rasmi yanatarajiwa kutangazwa Aprili 2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako