• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yarusha satelaiti mbili za kuongoza mawasiliano za Beidou

    (GMT+08:00) 2018-03-30 10:01:38

    China imerusha satelaiti za 30 na 31 ambazo zitajiunga na mfumo wa satelaiti za kuongoza mawasiliano za Beidou BDS, kutoka kwenye Kituo cha kurushia satelaiti cha Xichang mkoani Sichuan.

    satelaiti hizo mbili zitafanya kazi pamoja na satelaiti nyingine sita za mfumo wa Beidou ambazo zilirushwa hapo awali.

    Mfumo wa Satelaiti za kuongoza mawasiliano za Beidou ulioanza kutoa huduma kwa China tangu mwaka 2000, utaanza kuzihudumia nchi zilizoko "Ukanda mmoja, Njia moja" kabla ya mwisho wa mwaka 2018, na unatarajiwa kutoa huduma kwa dunia nzima ifikapo mwaka 2020, ukiwa na satelaiti zaidi ya 30.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako