• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waasi 1,146 na familia zao waondoka eneo la Douma, Ghouta mashariki nchini Syria

    (GMT+08:00) 2018-04-02 08:45:54

    Shirika la habari la Syria SANA limesema jumla ya waasi 1,146 na familia zao wameondoka wilaya ya Douma kwenye eneo la Ghouta mashariki jana jioni. Waasi hao ni wapiganaji wa kundi la Failaq al-Rahman waliokimbia maeneo yao katikati ya Ghouta mashariki kuelekea Douma kabla ya kutwaliwa kwa maeneo yao na jeshi la Syria hivi karibuni, na waliondoka wilaya ya Douma kutokana na makubaliano mapya yaliyofikiwa jana kuwaruhusu wapiganaji wa Islam Army waliodhibiti wilaya hiyo kuondoka na kwenda mji wa Jarablus, ulioko mpakani na Uturuki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako