• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 23 wajeruhiwa kwenye tetemeko la ardhi Iran

    (GMT+08:00) 2018-04-02 08:46:17

    Watu 23 wamejeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 5.3 kwenye kipimo cha Richter kutikisa mkoa wa Kermanshah nchini Iran mapema jana. Mwezi Novemba mwaka jana tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 7.3 lilikumba eneo hilohilo na kusababisha vifo vya watu 530 na wengine zaidi ya elfu nane kujeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako