• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • ICRC yajitahidi kuwatafuta wapalestina waliopotea kwenye maandamano ya kuipinga Israel

    (GMT+08:00) 2018-04-02 08:46:37

    Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu ICRC imesema inaendelea na juhudi za kuwatafuta wapalestina waliopotea kwenye mapambano yaliyoibuka Ijumaaa kati ya waandamanaji wa Palestina na vikosi vya Israel kwenye eneo la mpaka kati ya Gaza na Israel. Chanzo cha habari cha Palestina kinasema watu wasiopungua wawili wamepotea, na kuna uwezekano mkubwa kwamba wameuawa na mamlaka ya Israel imechukua miili yao. Habari zinasema wapalestina wasiopungua 16 waliuawa na wengine zaidi ya 1,200 walijeruhiwa Ijumaa baada ya vikosi vya Israel kuwafyatulia risasi waandamanaji wa Palestina waliokuwa wamekusanyika kuadhimisha Siku ya Ardhi kwenye eneo la mpaka kati ya Gaza na Israel.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako