• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Abu Dhabi yashuhudia ongezeko kubwa la watalii wa China

    (GMT+08:00) 2018-04-02 08:46:56

    Idara ya utamaduni na utalii ya Abu Dhabi imesema katika miezi miwili ya mwanzo ya mwaka huu, watalii zaidi ya elfu 86 walitembelea mji wa Abu Dhabi, ambalo ni ongezeko la asilimia 40.9 kuliko mwaka jana kipindi kama hicho. Idara hiyo imesema mji wa Abu Dhabi unalenga kuvutia watalii laki sita kutoka China kila mwaka ifikapo mwaka 2021, baada ya kutangaza utalii wake katika miji mitatu Beijing, Nanjing na Guangzhou nchini China, na kuanzisha ushirikiano na mitandao ya kijamii ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako