• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo cha anga za juu cha China Tiangong-1 chaanguka bahari ya Pasifiki baada ya kukamilisha jukumu lake

    (GMT+08:00) 2018-04-02 09:26:01

    Habari kutoka Ofisi ya Miradi ya China ya kupeleka wanaanga kwenye anga za juu inasema, saa mbili na dakika 15 leo asubuhi, kituo cha anga za juu cha China Tiangong-1 kimeanguka kwenye eneo la katikati ya bahari ya Pasifiki ya Kusini, na kiasi kikubwa cha chombo hicho kimeteketezwa kikiwa njiani kurudi ardhini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako