• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi Kuuu ya Uingereza: Spurs wafuta matumaini ya Chelsea ya kumaliza kwenye nafasi nne za juu msimu huu

    (GMT+08:00) 2018-04-02 10:00:22

    Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 28, Tottenham Spurs wamepata ushindi katika uwanja wa Stanford Bridge katika mechi ya ligi kuu dhidi ya Chelsea iliyopigwa jana.

    Licha ya Chelsea kutangulia kwa goli lililofungwa na Alvaro Morata, Spurs walisawazisha kupitia Christian Eriksen, na baadaye Delle Ali akifunga magoli mawili ya ushindi yaliyofanya matokeo ya jumla kuwa 3-1.

    Kwa matokeo haya, yanafuta matumaini ya Chelsea ya kuingia nne bora kwenye msimamo wa ligi kuu kwani wanasalia na pointi 56 zikiwa zimebaki mechi chache ligi kumalizika.

    Kwenye mechi nyingine zilizopigwa jana, Arsenal ilipata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Stoke City.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako