• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 15 wauawa katika shambulizi la Boko Haram nchini Nigeria

    (GMT+08:00) 2018-04-02 18:39:06

    Watu 15 wameuawa na wengine 70 kujeruhiwa katika mapigano kati ya kundi la Boko Haram na askari wa jeshi la Nigeria katika mji mkuu wa mkoa wa Borno, Maiduguri, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

    Habari zinasema, wapiganaji wa kundi la Boko Haram walishambulia vijiji vya Bale-Kura na Bale-Shuwa vilivyo karibu na mji wa Maiduguri, ikiwa ni jitihada za kuingia ndani ya mji huo. Wapiganaji hao waliweka magari yao mita chache kabla ya kufikia kituo cha ukaguzi cha jeshi na kuingia katika vijiji hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako