• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China apanda miti mjini Beijing

    (GMT+08:00) 2018-04-02 19:08:31

    Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na mwenyekiti wa Kamati ya Kijeshi ya chama hicho, leo asubuhi amehudhuria hafla ya upandaji wa miti mjini Beijing.

    Katika hafla hiyo, rais Xi amesisitiza kuwa, kazi ya kupanda miti ni lazima ishikilie wazo la kujiendeleza kwa kufuatilia wananchi, kupanda miti katika maeneo mengi kote nchini, na kila mtu kutoa mchango, baada ya muda, China itakuwa na miti mingi na mandhari mazuri.

    Viongozi wengine waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Li Keqiang, Li Zhanshu, na Wang Yang, na wakazi wa Beijing katika kijiji cha Zhangjiawan, eneo la Tongzhou.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako