• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tume ya uchaguzi ya Afghanistan yaahirisha uchaguzi wa bunge

    (GMT+08:00) 2018-04-02 19:21:46

    Tume huru ya uchaguzi ya Afghanistan IEC imeahirisha uchaguzi wa bunge hadi tarehe 20, mwezi Oktoba.

    Mkuu wa IEC Gulajan Bade Sayyad amesema, sababu kubwa za kuahirisha uchaguzi huo ni masuala ya kiusalama na ukosefu wa bejeti.

    Habari zimesema, awali, tume hiyo ilipanga kufanya uchaguzi huo tarehe 18, mwezi Julai.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako