• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mfumuko wa bei wa chini kabisa katika miaka misaba lakini bado mabadiliko hayajaonekana katika bei ya chakula

    (GMT+08:00) 2018-04-02 19:22:17

    Kenya ilirekodi mfumuko wa bei wa asilimia 4.18 mwezi Machi, ya chini kabisa katika miezi 72 na pointi 100 muhimu imesababisha kiwango cha mfumuko wa bei wa asilimia 4.18 mwezi Machi, kutoka asilimia 3.18 iliyoandikishwa mwezi Oktoba 2010.

    Ingawa imeshuka kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na asilimia 4.46 ya mwezi Februari, bado mabadiliko hayajaonekana katika kikapu cha chakula na bei ya bidhaa za msingi kama unga wa mahindi na mboga ambayo bei yake ilikuwa juu kuliko mwezi uliopita.

    Takwimu kutoka kwa Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya inaonyesha kipindi cha kati ya mwezi Februari na Machi mwaka 2018, ripoti ya vinywaji tamu na chakula iliongezeka kwa asilimia 1.5, kiwango cha chini kuliko asilimia 2.22 iliyoredokiwa mwezi mmoja kabla.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako