• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ubinafsishaji wa viwanda vya sukari uhusishe wakazi

    (GMT+08:00) 2018-04-02 19:22:38

    Magavana kutoka maeneo ya kilimo cha miwa magharibi mwa Kenya wanataka serikali ihusishe serikali za kaunti hizo na wakulima katika mipango ya kubinafsisha viwanda vya kutengeneza sukari.

    Kulingana nao, changamoto zinazokumba kampuni ya sukari ya mumias zilisababishwa na jinsi kiwanda hicho kilivyobinafsishwa kwa haraka na matokeo yake ikawa ni matatizo makubwa ya kiuchumi na kijamiik kwa wakulima.

    Aidha wanasema bila kushaurianana wakulima ambao huzalisha mali ghafi kuu, kutakuwa na athari mbaya katika siku za usoni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako