• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yaibuka bora katika ripoti iliyotolewa na benki ya dunia WB katika kuwezesha wanawake kifedha

    (GMT+08:00) 2018-04-02 19:23:20

    Kenya ni kati ya nchi nne za Kiuchumi Afrika ambayo imefanya mageuzi mengi katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, ambayo ni kuwezesha wanawake kifedha.

    Hii ni kulingana na utafiti mpya wa Benki ya Dunia ambayo inaonyesha kwamba nchi imeendelea katika kutekeleza sheria zinazoendeleza usawa kati ya wanaume na wanawake.

    Ripoti iliyotolewa hivi majuzi , imeonyesha Kenya ilipitisha sheria yake ya kwanza ya unyanyasaji wa nyumbani, ambayo inalinda familia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako