• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Museveni asema watumiaji wa mitandao ya kijamii kutozwa kodi ili kuongeza mapato ya serikali yake

    (GMT+08:00) 2018-04-02 19:23:57

    Serikali ya Uganda imeweka kodi mpya katika mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook, Twitter, Skype na Viber ili kukomesha kile rais Yoweri Museveni anaita (lugambo) uvumi.

    Rais pia analenga majengo ya kibiashara ili kuongeza mapato ya Serikali kutoka Shs bilioni 50 ya uganda mkusanyaji kodi anakusanya kutoka kwa wamiliki wa nyumba kila mwaka.

    Kodi iliyopendekezwa inalengo la kusaidia serikali ya Museveni kuongeza kati ya Shs billioni 400 na Sh trilioni 1.4 kutoka kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kila mwaka, hatua hii, iliamriwa na Rais mwezi Machi 12 kwa waziri wa Fedha Matia Kasaija.

    Lakini amesema, hakuwa kodi itatozwa katika matumizi ya mtandao kwa madhumuni ya elimu, utafiti au kumbukumbu itakuwa bure.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako