• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yafanikiwa kurusha aina mpya ya kombora la kuzuia makombora

    (GMT+08:00) 2018-04-03 08:47:44

    Wizara ya ulinzi ya Russia imesema vikosi vya ulinzi wa anga vya Russia hivi karibuni vimefanikiwa kurusha aina mpya ya kombora la kuzuia makombora kutoka nchini Kazakhstan. Video ya jaribio hilo iliyooneshwa kwenye tovuti ya wizara hiyo inaonesha kuwa kombora hilo likipiga shahaba kwa usahihi kama ilivyopangwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako