• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Miili ya askari 158 waliochinjwa na kundi la IS yagunduliwa Iraq

    (GMT+08:00) 2018-04-03 08:48:03

    Wizara ya afya ya Iraq imesema miili ya askari 158 waliochinjwa na kundi la Islamic State imegunduliwa kwenye kaburi moja la halaiki mkoani Salahudin, kaskazini mwa Iraq. Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo imesema makaburi mawili ya halaiki yamegunduliwa mjini Tikrit, miili hiyo ilipatikana kwenye karibu moja kati ya hayo, na kazi ya kuwatambua wahanga inaendelea, na kwa hatua ijayo wataanza kuchimba kaburi lingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako