• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiongozi wa Korea Kaskazini ahudhuria maonesho ya sanaa ya Korea Kusini mjini Pyongyang

    (GMT+08:00) 2018-04-03 08:48:21

    Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong-un na mkewe Bibi Ri Sol Ju walihudhuria maonesho ya sanaa ya Ujumbe wa Korea Kusini yaliyofanyika Jumapili mjini Pyongyang. Baada ya maonesho hayo, Bw. Kim Jong-un alikutana na wasanii wa ujumbe huo, na kupiga picha pamoja nao. Amesema maonesho hayo yameleta matumaini ya amani kwa watu wa Korea Kaskazini na Korea Kusini, na anatumai kuwa pande mbili zitaendelea kuthamini na kuendeleza mazingira mazuri yaliyopo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako