• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Abdel-Fattah al-Sisi achaguliwa kuwa rais wa Misri kwa muhula mwingine

    (GMT+08:00) 2018-04-03 09:15:34

    Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ya Misri Bw. Lashin Ibrahim ametangaza kuwa, rais Abdel-Fattah al-Sisi ameshinda uchaguzi mkuu kwa kupata asilimia 97.08 ya kura na ataendelea kuiongoza Misri kwa muhula mwingine. Imefahamika kuwa sherehe ya kuapishwa kwa rais mpya itafanyika mwanzoni mwa mwezi Juni.

    Rais Xi Jinping wa China amempongeza rais al-Sisi wa Misri kwa kupata ushindi kwenye uchaguzi huo, na kusema anapenda kushirikiana na rais Al-Sisi kusukuma mbele uhusiano wa wenzi wa kimkakati kati ya China na Misri, ili kuzinufaisha zaidi nchi hizo mbili na wananchi wao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako