• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Burundi achangia fedha kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020

    (GMT+08:00) 2018-04-03 09:42:36

    Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi amechangia dola za kimarekani 2,270 kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2020.

    Rais Nkurunziza amesema alitoa mchango mwaka jana, na ametoa mchango kwa mara nyingine kwa sababu mavuno ya kilimo ya familia yake kwa msimu huu ni mazuri.

    Kwa mujibu wa Tume ya uchaguzi ya Burundi, karibu watu milioni 5 wa Burundi wamejiandikisha kupiga kura za maoni kuhusu katiba ya nchi na uchaguzi mkuu unaokaribia kufanyika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako