• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa waraka wa kiserikali kuhusu sera na utekelezaji wa kuhakikisha uhuru wa kuabudu

    (GMT+08:00) 2018-04-03 09:51:50

    Ofisi ya habari ya Baraza la serikali la China leo imetoa waraka kuhusu sera na utekelezaji wa China kuhakikisha uhuru wa kuabudu.

    Waraka huo wenye maneno 8,000 una sehemu tano zinazohusisha sera za kimsingi za kuhakikisha uhuru wa kuabudu, sheria kuhusu kulinda uhuru na haki ya kuabudu, kuhakikisha shughuli za kidini zinaendelea kwa utaratibu, na utekelezaji wa kazi za mambo ya dini, na uhusiano mzuri kati ya jamii na dini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako