• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michezo za Robo fainali kuanza leo, Juventus vs Real Madrid, Sevilla vs Bayern Munich

    (GMT+08:00) 2018-04-03 09:58:49

    Michuano ya soka ya klabu bingwa barani ulaya inarejea leo kwa mechi mbili za kwanza za hatua ya robo fainali zitakazopigwa katika miji ya Turin nchini Italia na Seville nchini Hispania.

    Nchini Italia, wenyeji Juventus watawakaribisha Real Madrid kutoka Hispania majira ya saa tatu za usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

    Kwingineno katika muda huo huo nchini Hispania, Sevilla FC itakuwa katika uwanja wake wa nyumbani kucheza Bayern Munich ya Ujerumani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako