• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kenya imesalia na magunia milioni 15 tu ya mahindi

    (GMT+08:00) 2018-04-03 19:21:02

    Wizara ya kilimo nchini Kenya imesema nchi hiyo imesalia na magunia milioni 15 tu ya mahindi lakini inafanya mipango kuepusha mzozo wa ukosefu wa chakula.

    Katibu wa usimamizi wa oparesheni kwenye wizara hiyo Andrew Tuimur amesema mahindi yaliopo kwa sasa yanaweza kuisha mwezi Mei.

    Halmashauri ya kitaifa na nafaka inahifadhi magunia milioni 3.3 huku magunia mengine zaidi ya milioni 12 yakiwa kwenye maghala ya wasagaji unga.

    Hata hivyo makampuni ya kusaga unga yanasema hayajakuwa yakiifadhi mahindi kwa muda sasa kwani serikali haijawalipa shilingi bilioni 4 gharama ya kuagizia bidhaa hiyo kutoka nchi jirani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako