• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Zimbabwe wakubaliana kuanzisha ushirikiano wa kiwenzi na kimkakati wa pande zote kati ya nchi hizo mbili

    (GMT+08:00) 2018-04-03 19:28:59

    Rais Xi Jinping wa China na mwenzake wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa leo wamekubaliana kujenga ushirikiano wa kiwenzi na kimkakati wa pande zote kati ya nchi hizo mbili.

    Marais hao wamefanya mazungumzo leo katika jumba la mkutano la umma la China mjini Beijing.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako