• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kwanza wa Baraza la umma la SCO kufanyika Xi'an, China

    (GMT+08:00) 2018-04-04 08:57:29

    Mkutano wa kwanza wa Baraza la umma la Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai SCO utafanyika Aprili 9 na 10 mjini Xi'an, China. Mkutano huo mwenye kaulimbiu ya "Kusukuma mbele amani na ushirikiano wa kikanda, kujenga kwa pamoja Jumuiya ya binadamu yenye mustakbali wa pamoja, ni Jukumu la mashirika ya kiraia", utajadili kwa kina kuhusu jinsi mashirika ya kiraia yanavyoweza kuonesha nguvu yao na kutoa mchango katika kuhimiza mawasiliano na ushirikiano wa kikanda kwenye sekta mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako