• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yazindua mfumo wa kidigitali wa usajili wa viwanja ili kuongeza mapato ya serikali

    (GMT+08:00) 2018-04-04 09:09:51

    Kenya imezindua mfumo wa kidigitali wa usajili wa viwanja ili kuboresha huduma na kuongeza mapato ya serikali.

    Waziri wa ardhi wa Kenya Bibi Farida Karoney amesema serikali imekuwa ikipoteza mapato kutokana na mfumo wa usajili wa viwanja unaotumika sasa.

    Amesema, kwa kuilazimisha biashara ya viwanja ifanywe kupitia mtandao wa internet, serikali itaweza kuzuia mianya inayosababisha kupotea kwa mapato.

    Uzinduzi wa jukwaa hilo la kidigitali umekuja baada ya serikali kufunga huduma za usajili wa viwanja kwa wiki mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako