• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Brigedia mstaafu Semakana achaguliwa kuwa Rais

    (GMT+08:00) 2018-04-04 10:51:22
    Brigedia mstaafu wa Jeshi la Rwanda Semakana Jean Danascene amechaguliwa kuwa rais wa Shirikisho la soka nchini Rwanda (FERWAFA) katika uchaguzi uliofanyika mjini Kigali.

    Katika uchaguzi huo pia ulimchagua Habyarimana Matiku kuwa makamu wa rais, na wajumbe wengine watatu wa kamati ya utendaji. Viongozi waliochaguliwa watahudumu kwa muda wa miaka minne.

    Rais aliyekuwa akimaliza muda wake Vincent Nzamwita hakuwania nafasi hiyo kwa sababu binafsi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako