• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Bei ya makaa yapanda kwa asilimia 27.

    (GMT+08:00) 2018-04-04 19:14:46

    Bei ya makaa imepanda kwa asilimia 27 kufuatia marufuku ya ukataji miti na biashara ya makaa.

    Takwimu kutoka kwa shirika la takwimu zinaonyesha kwamba kilo moja ya makaa imepanda hadi shilingi 107 mwezi huu.

    Bei hiyo imepanda baada ya serikali kupiga marufuku ya mizei mitatu kufuatia kukithiri kwa ukataji miti.

    Hali hii itamuathiri mwananchi wa kipato cha chini anaetegemea makaa kupikia .

    Katika mda wa mwaka mmoja,bei ya makaa imepanda kwa asilimia 34 na imekuwa kiwango kikubwa zaidi tangu mwaka 2007.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako